SAYARI YA MIDUARA

KWA AJILI YA DUNIA= KWA AJILI YETU Mradi wa “sayari ya miduara” ni mradi wa hiari wa kimataifa ambao una lengo la kuunganisha watu, sayari na ‘nafsi yake’. Uhusiano huu hutokana, huendelea na kukua pamoja na mti ambao umepandwa ndani ya mradi huu. Watu huunganishwa na Sayari kwa kupanda miti katika mviringo wa ukubwa wa mita 20. Ni … Endelea kusoma SAYARI YA MIDUARA